Propellerads

Mambo matano usiyoyafahamu kuhusu Eden Hazard

Yawezekana kabisa msomaji ukawa ni miongoni mwa mashabiki wakubwa wa Eden Hazard  wa Chelsea ambaye juzi kati amechukua uchezaji bora England, lakini kuna vitu vya ziada unaweza ukawa hauvifahamu, twende sawa sasa mtu wangu,
Leo nakuletea mambo matano

                                           

Ana urefu wa futi 5 na inchi 8, amezaliwa Januari 1 1991 huko La Louviere Ubelgiji

Wazazi wake wote walikua ni wanasoka, Baba alichezea ligi ya daraja nchini huko nchini kwao Ubelgiji , wakati mama alikuwa mshambuliaji Timu ya wanawake.

Alianza soka akiwa na umri wa miaka minne pekee!!

Ana rekodi nzuri ya 100% katika upigaji penalti.

Pia Hazard anatokea familia ya soka kwani wadogo zake watatu ni wanasoka pia!!
Mambo matano usiyoyafahamu kuhusu Eden Hazard Mambo matano usiyoyafahamu kuhusu Eden Hazard Reviewed by Steve on Saturday, May 09, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.