Propellerads

Huyu chipukizi mghana athibitisha mazungumzo na Man U

Midfielder kutoka Ghana Bernad Mensah amethibitisha kua Manchester United wana mpamgo wa kumsajili, japokua hajapata kuongea na
mwakilishi yeyote kutoka Man U.

                                                   

"Ni kweli Manchester United wananihitaji" aliiambia Allsports.

"Sijaongea na yeyote Manchester United, lakini najua kuna mazungumzo na klabu yangu" Alisema mchezaji huyo wa Vitoria de Guimaraes ambaye mkataba  wake na klabu hiyo unafikia ukingoni mwaka 2018.

Louis Van Gaal ameanza mapema usajili kwa ajili ya msimu ujao , ambapo mpaka sasa amemsainisha fowadi kutoka PSV Eindhoven , Memphis Depay.


Huyu chipukizi mghana athibitisha mazungumzo na Man U Huyu chipukizi mghana athibitisha mazungumzo na Man U Reviewed by Steve on Thursday, May 14, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.