Propellerads

Chelsea kusainisha huyu

Chelsea wametangaza kumsainisha mchezaji chipukizi mwenye kipaji kutoka Brazil Nathan Allan de Souza  aliyekuwa akiichezea
Atletico Paranaense ya nchini humo.

Mchezaji huyo mwenye miaka 19 tayari ameshafanya vipimo vya afya na makubaliano yameshafikiwa, Chelsea imewagharimu kiasi cha Pauni mil 4.5 kumpata.

                                               

Akiwa kama mshambuliaji tayari ameiwakilisha Brazil katika timu za taifa chini ya miaka 17 pia chini ya miaka 20.

"Nina furaha sana kujiunga Chelsea, Mabingwa wa England , natumaini nitajifunza mengi na kuendeleza kipaji changu" Aliiambia tovuti rasmi wa Chelsea.
Chelsea kusainisha huyu Chelsea kusainisha huyu Reviewed by Steve on Thursday, May 14, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.