West Ham wanamtaka Mandzukic, Arsenal nao wamepiga hodi ndani ya Everton, yote yapo hapa habari zilizotawala magazeti ya Ulaya Jumanne hii
West Ham wanajipanga kumvuta kikosini kwao mkali kutoka Juventus, Mario Mandzukic.
Nyota huyo raia wa Croatia alihusishwa kutimkia katika klabu hiyo ya jijini London lakini dili halikufanikiwa.
Kwa mujibu wa talkSPORT, West Ham watakutana na ushindani kutoka kwa Bestikas ambao nao wanamfukuzia Mandzukic, je dili litafanikiwa!? tusubiri
Habari za usajili kutoka magazeti na mitandao mbali mbali Ulaya siku ya leo Jumanne.
- Arsenal wanamfatilia kwa karibu kiungo wa Everton, Idrissa Gana Gueye.
- Kinda wa Juventus, Moise Kean yupo katika harakati za kusaini mkataba mpya.
- Beki kinda wa Arsenal, Chris Willock yupo katika rada za klabu ya Celtic ambapo huenda dili likakamilika majira ya joto.
- Kiungo wa Tottenham, Harry Winks huenda akatimkia La liga.
West Ham wanamtaka Mandzukic, Arsenal nao wamepiga hodi ndani ya Everton, yote yapo hapa habari zilizotawala magazeti ya Ulaya Jumanne hii
Reviewed by Steve
on
Tuesday, March 14, 2017
Rating:
No comments:
Post a Comment