Samatta: Lengo ni moja tu!!
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta amefunguka kwamba amekuja nchini kwa kazi moja tu.
Akizungumza baada ya kuwasili nchini juzi, Samatta alisema lengo lake ni kutaka kuona wanaibuka na ushindi katika michezo hiyo miwili na kuhakikisha Tanzania nayo inapanda katika viwango vya Fifa.
"mechi zote sisi tunaangalia ushindi, tunacheza nyumbani, najua kocha Salum Mayanga anakitambua vema kikosi cha Taifa Stars," alisema.
Samatta: Lengo ni moja tu!!
Reviewed by Steve
on
Thursday, March 23, 2017
Rating:
No comments:
Post a Comment