Propellerads

Manchester United wameshinda jana, Mourinho ametoa wasiwasi wake juu ya mchezo




Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho
amekipongeza kikosi chake baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Leicester jana Old Trafford.

Ushindi huo umerejesha matumaini mapya United baada ya kupoteza michezo miwili ya Premier League na ule wa ufunguzi Europa dhidi ya Feyernood.

"Tumwafunga mabingwa, hatujaifunga timu ya kawaida," Mourinho aliiambia BBC Sport "Kila mtu anajua jinsi ilivyo ngumu kucheza na Leicester kwa hiyo nina furaha.

"Tulianza vizuri, tulikua na mechi nyingine ambazo hatukuanza vizuri kwa hiyo hatukua vizuri. Leo tumeanza vizuri na najua tumefunga magoli matatu kwa mfuatano, lakini katika kutngeneza hizo nafasi ina maana tuliutawala mchezo."
Manchester United wameshinda jana, Mourinho ametoa wasiwasi wake juu ya mchezo Manchester United wameshinda jana, Mourinho ametoa wasiwasi wake juu ya mchezo Reviewed by Steve on Sunday, September 25, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.