Stori kutoka magazeti ya Ulaya jumatau hii
-Joe Hart kukalia benchi hata kama Pep Guardiola kipanga kikosi tena kwenye
mechi ya marudiano ya Champions League.
-Arsenal wamesema kua Shkodran Mustafi atagharimu kiasi cha pauni mil 50.
-Bosi wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema hata paniki katika manunuzi lakini ni lazima aimarishe kikosi chake.
-Nyota anayewindwa na Chelsea na Arsenal, James Rodriguez anajipanga kuendelea tena kukaa klabuni |Real Madrid.
-Inter Milan wako mbioni kukamilisha usajili wa kiungo wa Newcastle, Moussa Sissoko.
-Chelsea wanajiandaa kumsajili mlinda mlango wa Dinamo Zagreb
Stori kutoka magazeti ya Ulaya jumatau hii
Reviewed by Steve
on
Monday, August 22, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, August 22, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment