Propellerads

Taarifa mpya kutoka kwa Benitez kuhusu Benzema




Kocha wa Real Madrid, Rafael Benitez amesema kua nyota Karim Benzema
hatoondoka kuondoka klabuni hapo.

Ripoti za sasa zinadai kua Arsenal wamemuandalia dau la pauni 46mil, lakini Benitez amesema Benzema hana sababu ya kumfanya aondoke.

"Atakaa na sisi, sioni sababu ya kumfanya aondoke" Aliwaambia waandishi Jumatatu hii " Tuna furaha nae"

Benzema amefunga magoli 133 katika mechi 281 alizocheza Los Blancos tangu awasili mwaka 2009, lakini kwa sasa anahusishwa sana kujiunga Arsenal


Taarifa mpya kutoka kwa Benitez kuhusu Benzema Taarifa mpya kutoka kwa Benitez kuhusu Benzema Reviewed by Steve on Monday, August 03, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.