Propellerads

Ronaldo na ustaa wake amekataliwa na huyu ,'mtoto mkali' hebu mcheki




Unadhani ukiwa staa mkubwa basi unampata mwanamke yoyote, sahau. Kama unakataa
, basi muulize Cristiano Ronaldo wa Real Madrid.



Ronaldo ndiyo mwanasoka bora wa dunia kwa sasa, lakini mwanadada Aline Lima ameonyesha umaarufu si kila kitu katika maisha baada ya ‘kumpiga chini’ staa huyo baada ya ‘kuziingiza’.

Ronaldo alionyesha kuvutiwa na mwanamitindo huyo katika jiji la Melbourne wakati Real Madrid ikiwa katika ziara yake ya kujiandaa na msimu mpya nchini Australia.

Lakini Alne alisisitiza hawezi kufanya lolote, hata kumtumia picha tu kwa kuwa mpenzi wake asingefurahia.



Juhudi za Ronaldo zilikwama kutokana na Aline kuwa ‘siriaz’ hadi mwisho, maana mwanzo, ilionekana ni kama utani.


Ronaldo na ustaa wake amekataliwa na huyu ,'mtoto mkali' hebu mcheki Ronaldo na ustaa wake amekataliwa na huyu ,'mtoto mkali' hebu mcheki Reviewed by Steve on Monday, August 03, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.