Propellerads

Yanga yawatoa wakali hawa kwa mkopo.




Pilika pilika za usajili zinaendelea nchini na leo taarifa rasmi zinasema kwamba mabingwa wa Tanzania bara, Young Africans wameamua kuwatoa kwa mkopo wachezaji wake watatu ambao tayari wameshapata timu za kuchezea msimu ujao.


Wachezaji hao ni Hussein Javu anayejiunga na timu mpya iliyopanda ligi kuu msimu ujao, Maji Maji FC, ‘Wanalizombe’
Yanga 
Kiungo wa klabu hiyo Hassan Dilunga anakwenda kujiunga na Stand United ya Shinyanga, wakati mlindi wa kushoto, Edward Charles anatua kwa maafande wa JKT Ruvu.
Yanga yawatoa wakali hawa kwa mkopo. Yanga yawatoa wakali hawa kwa mkopo. Reviewed by Steve on Wednesday, July 01, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.