Orodha ya watu wenye ushawishi zaidi katika soka, Messi na Ronaldo je
Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi na mwenzake wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, wametajwa katika
top 10 ya watu wenye ushawishi zaidi katika soka ulimwenguni.
Messi ametajwa katika nafasi ya tano huku Ronaldo akifatia katika nafasi ya tisa.
ESPN wamechapisha orodha ya watu 50 wenye ushawishi zaidi katika soka wakizingatia maoni kutoka kwa wahariri wao, huku Messi, Ronaldo na Kompany wakiwa ni wachezaji pekee waliomo katika orodha hiyo, kwani wengi waliotajwa ni makocha, wakurugenzi, na viongozi mbali mbali katika soka.
Hapa chini ni top 10 ya watu wenye ushawishi zaidi katika soka kama ilvyoorodheshwa na ESPN, pia nimekuwekea na majina makubwa yaliyomo kwenye list hiyo ambayo hayapo top 10
1) Michel Platini (UEFA President)
2) Jorge Mendes (agent of the likes of Jose Mourinho & Cristiano Ronaldo)
3) Richard Scudamore (Premier League CEO)
4) Karl-Heinz Rummenigge (Bayern Munich CEO, president of European Clubs Association)
5) Lionel Messi (FC Barcelona)
6) Florentino Perez (Real Madrid president)
7) Nasser Al Khelaifi (CEO beIn Media Group & Paris Saint-Germain)
8) Sepp Blatter (FIFA president)
9) Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
10) Gianni Infantino (UEFA secretary general)
11) Pep Guardiola (Bayern Munich coach)
12) Issa Hayatou (CAF president)
26) Jose Mourinho (Chelsea coach)
29) Louis van Gaal (Manchester United coach)
33) Vincent Kompany (Manchester City)
40) Pele (former Brazil player)
41) Arsene Wenger (Arsenal coach)
Orodha ya watu wenye ushawishi zaidi katika soka, Messi na Ronaldo je
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 29, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 29, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment