Man United wamefanya kweli kwa Barca....mtu kala tatu
United wameitandika Barcelona kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kuwania kombe la ‘International Champions Cup’, mchezo
uliopigwa huko California usiku wa kuamkia leo.
Magoli ya United yalifungwa na Wayne Rooney dakika ya 8, Jesse Lingard dakikia ya 65 na Adnan Januzaj dakika ya 90 huku Barcelona wakifunga goli lao kupitia kwa Rafinha dakika ya 90.
Vikosi vilivyokuwa:
Barcelona (4-3-3): Ter Stegen 6 (Masip 45, 6); Adriano 6 (Rakitic 45), Pique 6 (Batra 68, 6), Vermaleen 6 (Mathieu 60, 6), Alba 6; Busquet 6.5 (Gumbau 68, 6), Rafinha 6, Iniesta 6 (Halilovic 68, 6); Sergi Roberto 6.5, Suarez 7.5 (Sandro 68, 6), Pedro 6.5 (Munir 68, 6)
Mfungaji: Rafinha dakika ya 90
Man Utd (4-3-3): De Gea 6 (Johnstone 62, 6), Darmian 6.5 (Valencia 62, 6.5), Jones 6.5 (Smalling 62, 6), Blind 6 (McNair 62, 6.5), Shaw 6 (Blackett 62, 6.5); Carrick 6.5 (Herrera 62, 6), Schneiderlin 6.5 (Fellaini 62, 5.5), Mata 6 (Perreira 62, 6); Depay 6.5 (Lingard 62, 6.5), Rooney 6.5 (Januzaj 62, 6), Young 7 (Wilson 62, 6.5)
Wafungaji: Rooney 8, Lingaard 65, Januzaj 90
Man United wamefanya kweli kwa Barca....mtu kala tatu
Reviewed by Steve
on
Sunday, July 26, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, July 26, 2015
Rating:



No comments:
Post a Comment