Propellerads

Kama hukucheki Arsenal alivyomchapa Everton.....baadhi ya picha zipo hapa


Washika bunduki wa London, Arsenal wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Asia Trophy baada ya kuichapa
Everton mabao 3-1 katika mechi ya fainali iliyopigwa jana.
Kocha mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger alikuwa ametulia kwenye benchi huku vijana wake wakionesha kiwango cha hali ya juu katika mechi hiyo ambayo ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya.
Golikipa mpya wa Arsenal aliyesajiliwa kutoka Chelsea majira haya ya kiangazi, Petr Cech amecheza mechi yake ya kwanza na kuokoa michomo ya hatari.
Magoli ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcott (22), Saint Cazorla (58) na Mesut Ozil (63).
Bao pekee la Everton limefungwa na Ross Barkley (76) .














Kama hukucheki Arsenal alivyomchapa Everton.....baadhi ya picha zipo hapa Kama hukucheki Arsenal alivyomchapa Everton.....baadhi ya picha zipo hapa Reviewed by Steve on Sunday, July 19, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.