Propellerads

Uzi mpya wa Real Madrid wavuja....Cheki hapa

Baada ya jana kumtangaza kocha wao mpya Rafael Benitez, leo hii picha za jezi zao ambazo watavaa msimu ujao
zimevuja kwenye mtandao. Utaratibu ni kwamba jezi zingezinduliwa kwa picha official kutoka Real Madrid lakini picha hizi zimesambaa kabla ya official launch.
Unazionaje hizi jezi ukifananisha na za msimu ulioisha?


Uzi mpya wa Real Madrid wavuja....Cheki hapa Uzi mpya wa Real Madrid wavuja....Cheki hapa Reviewed by Steve on Friday, June 05, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.