Propellerads

Soma alichokisema kocha mpya Simba.




Kocha mpya wa Simba, Dylan Kerr amesema atahitaji
muda kidogo kukisuka kikosi chake.

Kerr raia wa Uingereza amesema atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kikosi chake kinakuwa bora lakini lazima apewe muda.
“Kazi ya ukocha kawaida inahitaji muda, inahitaji uone, utafakari na kuchukua uamuzi.

“Hivyo suala la muda halikwepeki ingawa katika soka mambo huenda taratibu,” alisema.


Kerr ametua nchini jana na tayari yuko katika hatua za mwisho kuanza mikakati ya kuanza kazi.
Soma alichokisema kocha mpya Simba. Soma alichokisema kocha mpya Simba. Reviewed by Steve on Sunday, June 28, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.