Propellerads

Inter Milan yamtaka mkali wa Man United



Ni muda wa usajili nani anaenda wapi nani ana saini upya. Hii ni habari mpya ambayo inamhusu star Manchester united ambae anatakiwa na
Inter Milan. 
Klabu ya Inter Milan inafanya juhudi ya kupata sign ya mchezaji Luis Nani ambae ni mchezaji wa Manchester united aliyekua Sporting Lisbon. Msimu huu wakati unakaribia kuisha Nani alisema hataki tena kucheza Sporting msimu ujao.
Baada ya kauli hiyo Inter Milan imetumia nafasi hiyo na matakwa ya Nani kumleta Inter Milan
Inter Milan yamtaka mkali wa Man United Inter Milan yamtaka mkali wa Man United Reviewed by Steve on Tuesday, June 02, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.