Propellerads

Ngoma na Zutah nao watua Jangwani.




Nyota wapya wa Yanga, Donald Ngoma (mrefu) na kiungo mwenye uwezo wa kucheza kama beki kulia, James Zutah kutoka
Ghana walivyopokelewa na viongozi wa Yanga leo asubuhi saa 3: 30 kwenye Uwanja wa Ndege wa Nyerere.



Katibu wa Yanga Dk Jonas Tiboroha amesema kuwa zoezi la kwanza litakuwa ni kuwapima afya zao, kisha masuala ya kumalizana nao kimkataba yatafuatia wakati wowote. 

Wamekuja kwa ndege ya KQ kwa wakati mmoja na kupokelewa na katibu Dk Tiboroha, katabaro na Ndama.



Ngoma na Zutah nao watua Jangwani. Ngoma na Zutah nao watua Jangwani. Reviewed by Steve on Saturday, June 27, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.