Propellerads

Mkude aanza tizi Sauzi.




Kiungo mahiri wa ukabaji wa Simba na Taifa Stars, Jonas Gerard Mkude ameanza majaribio katika klabu ya Bidvest Wits inayoshiriki ligi kuu Afrika kusini.


Mkude ameonekana mwenye kujiamini katika majaribio hayo, huku akiwa na matumaini ya kufuzu ili kutimiza ndoto yake ya kucheza soka la kulipwa.
Mkude aanza tizi Sauzi. Mkude aanza tizi Sauzi. Reviewed by Steve on Saturday, June 27, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.