Chelsea wanamfukuzia kinda huyu mbrazil, mcheki hapa.
Chelsea iko katia hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambuliaji kinda wa Fluminense ya Brazil aitwaye, Kenedy.
Mabingwa hao wa England wamemwaga pauni milioni 6.3 kumnasa kinda huyo wa miaka 19.
Taarifa zimeeleza kwamba tayari mchezaji huyo ameuzwa katika kampuni yenye maelewano na Chelsea ambayo itafanya biashara na klabu hiyo.
Chelsea imekuwa ikimfuatilia Kennedy kwa muda mrefu sasa kupitia kampuni maalum hadi ilipofikia uamuzi wa kumnunua na leo au kesho kila kitu kitakuwa kimekamilika.
Chelsea wanamfukuzia kinda huyu mbrazil, mcheki hapa.
Reviewed by Steve
on
Sunday, June 28, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, June 28, 2015
Rating:


