Arsenal yamsainisha kinda mwenye miaka 16.
Arsenal wamemsajili nahodha wa timu ya taifa ya Romania ya vijana chini ya umri wa miaka 16, Vlad Dragomir, kwa
mujibu wa shirika la habari la Reuters.
mujibu wa shirika la habari la Reuters.
Kiungo huyo inasemekana amekataa kujiunga na mabingwa wa Romania Steaua Bucharest na kwenda Arsenal akitokea ACS Poli Timisoara.
“Nimefurahi sana,ni matumaini yangu kuwa sijamkasirisha yeyote. Niliona nafasi ya kwenda Arsenal ni nzuri kwangu, nahisi hapo ndio mahala pangu”, amesema.
Arsenal yamsainisha kinda mwenye miaka 16.
Reviewed by Steve
on
Thursday, June 25, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, June 25, 2015
Rating:

