Top 10 ya wafungaji bora waafrika Ulaya.
![]() |
| Max Gradel |
Bahati mbaya hakuna mchezaji wa kiafrika aliyefanikiwa kupata kiatu cha dhahabu katika ligi yeyote Ulaya, lakini kuna waliojaribu kuonesha uwezo wao katika ufungaji.
Hapa chini ni Orodha ya wafungaji bora wa kiafrika Ulaya.
1) Max Gradel ( Saint Etienne ) - Magoli 17.
2) Pierre-Emerick Abumeyang ( Borussia Dortmund ) - Magoli 16.
3) Jordan Ayew ( Lorient ) - Magoli 12.
4) Mame Biram Diouf (Stoke City) – Magoli 11.
Papiss Demba Cisse (Newcastle United) – Magoli11.
5) Andre Ayew (Marseille) – Magoli 10 .
Anthony Ujah (FC Cologne) – Magoli 10.
Diafra Sakho (West Ham) – Magoli 10.
Yaya Toure (Manchester City) – Magoli 10.
Sadio Mane (Southampton) – Magoli 10.
Top 10 ya wafungaji bora waafrika Ulaya.
Reviewed by Steve
on
Thursday, May 28, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, May 28, 2015
Rating:
