Mtazamo wa Gareth Bale kuhusu ada ya uhamisho wa Pogba
Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ametoa mtazamo wake kwa mchezaji mpya
wa Manchester United, Paul Pogba kuhusu uhamisho wake ambao ulivunja rekodi yake.
Bale ameshikilia rekodi hiyo kwa miaka mitatu, lakini ilifikia mwisho baada ya Pogba kusajiliwa tena na Man United kwa pauni mil 89.
Aliulizwa kuhusu namna anavyochukulia baada ya kua sio mchezaji wa gharama tena ulimwenguni, Bale ameweka wazi kwamba haimpi shida yoyote.
"haijanishtua na sijali, na hakuna mchezaji yeyote aliyeshangaa," Bale alisema kama alivyonukuliwa na FourFourTwo.
Mtazamo wa Gareth Bale kuhusu ada ya uhamisho wa Pogba
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 04, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 04, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment