Real Madrid kutoa ofa ya pauni mil 55 kwa nyota wa Bayern!?, hizi ni stori kutoka magazeti ya Ulaya Ijumaa hii
Hizi ni stori zilizobamba kweny vichwa vya magazeti ya Ulaya
mapema Ijumaa hii
-Paul Pogba anatakiwa athibitishe kua ana thamani ya pauni mil 100 na kua bora zaidi Man United amesema Rio Ferdinand.
-Everton wanataka kumpa ofa ya mkataba mpya mnono Lomelu Lukaku ili kumbakisha Goodison Pak.
-Chesea wanamfatilia kwa karibu mshambuliajiwa Romania, Nicolae Stanciu huku wakitaka kumsajili kwa pauni mil 6.
-Beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic anaamini msimu huu utakua mgumu zaidi wa EPL.
-Rafa Benitez amesisitiza kua Newcastle wako tayari kwa ubingwa kwa sababu anaandaa mazingira mazuri ya baadaye.
-Everton wanataka kupambana na Arsenal kumnasa nyota wa Wolfsburg Julian Draxler.
-Uhamisho wa Paul Pogba kuja Man United huenda ukatangazwa mara moja atakaporejea kutoka mapumzikoni.
-Real Madrid wanajipanga na ofa ya zaidi ya pauni mil 55 kumsajili beki wa kushoto wa Bayern Munich, David Alaba.
Real Madrid kutoa ofa ya pauni mil 55 kwa nyota wa Bayern!?, hizi ni stori kutoka magazeti ya Ulaya Ijumaa hii
Reviewed by Steve
on
Friday, August 05, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Friday, August 05, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment