Propellerads

Kama hukuona jinsi Stars ilivyokomaa mbele ya Algeria, hapa ni pichazz


Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeeshindwa kuchomoza  na ushindi baada ya
kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 na timu ya taifa ya Algferia kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kupangwa kwenye makundi kwa ajili ya kuwania kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia itakayofanyika mwaka 2018 nchini Urusi.

Elius Maguli alianza kuifungia Stars bao la kuongoza dakika ya 43 kipindi cha kwanza akiunganisha kwa kichwa krosi ya mlinzi wa kushoto Hajji Mwinyi. Goli hilo likaipeleka Stars mapumziko ikiwa mbele kwa bao 1-0.





                                         







Kama hukuona jinsi Stars ilivyokomaa mbele ya Algeria, hapa ni pichazz Kama hukuona jinsi Stars ilivyokomaa mbele ya Algeria, hapa ni pichazz Reviewed by Steve on Saturday, November 14, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.