Propellerads

Umepata hii!!, Wenger ameonekana kwenye ndege kuelekea Ufaransa kwenye dili la Cavani



Manager Wenger alisema kwamba kabla ya kupindi cha usajili
hakijaisha lazima atafanya usajili mwingine ambapo jibu limepatikana kwa kiasi kikubwa atakua ni Cavani.




Arsene Wenger amepigwa picha akiwa ndani ya ndege ambayo ilikua inaelekea Ufaransa na imesekana kwamba safari hiyo ni kwenda kufanya mazungumzo ya makubaliano na Cavani. Dili la kumsajili foward huyu inaripotiwa kuwa tayari limeshakamilika na gharama yake ni £45M.

Usajili utaisha ndani ya muda mfupi ujao kwa hiyo muda wowote Cavani anaweza kutangazwa kuwa ni mchezaji mpya wa Arsenal
Umepata hii!!, Wenger ameonekana kwenye ndege kuelekea Ufaransa kwenye dili la Cavani Umepata hii!!, Wenger ameonekana kwenye ndege kuelekea Ufaransa kwenye dili la Cavani Reviewed by Steve on Tuesday, September 01, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.