PSG wako tayari kumuuza Ibrahimovic kwa Arsenal badala ya Cavani
Paris Saint-Germain wameripotiwa kutaka
kuwauzia Arsenal mshambuliaji wao Zlatan Ibrahimovic katika dakika hizi za mwisho kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
Ripoti: Dili la Cavani na Arsenal bado halijafa
Mchezaji huyo ambaye alijiunga PSG akitokea AC Milan mwaka 2012 amefunga magoli 106 katika mechi 126 kwa wakali hao wa Ufaransa.
Gazeti la London Evening Standard la Uingereza limedai kua Arsenal hawako tayari kumuuza Cavani na badala yake wako tayari kumuachia Ibrahimovic aende Arsenal.
Ibrahimovic kwa sasa amebakiza mwaka mmoja pekee katika mkataba wake na PSG.
PSG wako tayari kumuuza Ibrahimovic kwa Arsenal badala ya Cavani
Reviewed by Steve
on
Tuesday, September 01, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, September 01, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment