Propellerads

Usajili wa Benzema Arsenal huenda kukamilika leo kwa dau la maana tu




Kwa mujibu wa gazeti la Metro suala la Arsenal kumsajili Karim Benzema huenda
likakamilika leo kwa kiasi cha Puni 35mil.

Gazeti hilo limemnukuu Emanuele Giulianelli ambaye ni mwandishi wa kiitalia akidai leo Arsenal watakua Madrid wakikamilisha uhamisho huo.

Inadaiwa Benzema atasaini mkataba wa miaka minne na atavuna kiasi cha pauni 120,000 kwa wiki.
Usajili wa Benzema Arsenal huenda kukamilika leo kwa dau la maana tu Usajili wa Benzema Arsenal huenda kukamilika leo kwa dau la maana tu Reviewed by Steve on Friday, August 07, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.