Propellerads

Update usajili wa Cavani: Mwandishi mfaransa akanusha uvumi



Taarifa mpya kuhusu  uhamisho wa Edinson Cavani kuja Arsenal zinadai
kua klabu hiyo haina mpango na nyota huyo.

Karibuni kuna taarifa kua kocha Arsene Wenger ana nia ya kumpata Cavani baada ya kumkosa Karim Benzema kutoka Real Madrid.

Lakini  mwandishi mmoja wa Ufaransa Pierre Menes ameibuka na kukanusha taarifa hizo na kudai Wenger hajawai kufikiria kumnasa mchezaji huyo, kupitia ukurasa wake wa Twitter , mwandishi huyoameandika haya     "Kiukweli Wenger hajawai kumtaka Cavani, Inashangaza"

Mpaka sasa Arsenal wamefanikiwa kumsainisha Petr Cech pekee majira haya ya joto.

Update usajili wa Cavani: Mwandishi mfaransa akanusha uvumi Update usajili wa Cavani: Mwandishi mfaransa akanusha uvumi Reviewed by Steve on Wednesday, August 26, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.