Umeyaona makundi ya klabu bingwa UEFA 2015/16!!, ingia hapa
Tayari makundi ya michuano ya klabu bingwa Ulaya
msimu wa 2015/16 yameshajulikana huko Monaco, huku ikishuhudiwa historia mpya kwa vilabu vitano kutoka nchi moja kua katika hatua ya makundi, vilabu hivyo ni kutoka Hispania ambavyo ni Real Madrid, Barcelona, Altletico Madrid, Sevilla na Valencia, cheki mwenyewe makundi haya hapo chini
GROUP A
ParisParis(FRA)
Real Madrid(ESP)
Shakhtar Donetsk(UKR)
Malmö(SWE)
GROUP B
PSVPSV(NED)
Man. United(ENG)
CSKA Moskva(RUS)
Wolfsburg(GER)
GROUP C
Benfica(POR)
Atlético(ESP)
Galatasaray(TUR)
Astana(KAZ)
GROUP D
Juventus(ITA)
Man. City(ENG)
Sevilla(ESP)
Mönchengladbach(GER)
GROUP E
Barcelona(ESP)
Leverkusen(GER)
Roma(ITA)
BATE(BLR)
GROUP F
Bayern(GER)
Arsenal(ENG)
Olympiacos(GRE)
Dinamo Zagreb(CRO)
GROUP G
Chelsea(ENG)
Porto(POR)
Dynamo Kyiv(UKR)
M. Tel-Aviv(ISR)
GROUP H
Zenit(RUS)
Valencia(ESP)
yon(FRA)
Gent(BEL)
Umeyaona makundi ya klabu bingwa UEFA 2015/16!!, ingia hapa
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 27, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment