Propellerads

Ripoti: Arsenal wanamfukuzia mchezaji huyu wa Leicester



Arsenal wameripotiwa kuonesha nia ya
kumpata winga wa Leicester,  Riyad Mahrez baada ya kufatilia kiwango chake tangu kuanza kwa msimu huu.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Algeria pia amekua akihusishwa na vilabu vya Villareal na Roma.

Gazeti la Daily Star limeripoti kua mchezaji amekua katika mahesabu ya Wenger kwa muda mrefu, lakini hata hivyo Leicester hawako tayari kumuuza kipindi hiki.

Wenger amesema kua ataleta wachezaji zaidi kabla ya kufungwa usajili jumanne.
Ripoti: Arsenal wanamfukuzia mchezaji huyu wa Leicester Ripoti: Arsenal wanamfukuzia mchezaji huyu wa Leicester Reviewed by Steve on Sunday, August 30, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.