Kaseja atua Mbeya City, ajifunga kwa miezi kadhaa
Kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa
miezi sita kuitumikia Mbeya City.
Kaseja amesaini mkataba huo leo rasmi mbele ya meneja wake mpya, Athumani Tippo pamoja uongozi wa Mbeya City.
Shughuli hiyo ya kusaini imefanyika jijini Dar es Salaam jana.
Kaseja anajiunga na Mbeya City baada ya kuwa ameitumikia Yanga ambayo hata hivyo hawakuwezana mwishoni.
Kaseja atua Mbeya City, ajifunga kwa miezi kadhaa
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 20, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 20, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment