Javier Hernandez kuondoka Man United ??!!
Inadaiwa bosi wa Man United, Louis van Gaal amemwambia
Javier Hernandez kua yuko huru kuondoka kabla ya dirisha la usajili kufungwa hapo jumanne.
Mchezaji huyo ameifungia United magoli 59 katika mechi 157 lakini msimu uliopita aliutumia akiwa Real Madrid kwa mkopo ambapo alifunga magoli 9 pekee katika mechi 33.
Kwa mujibu wa The Telegraph, kocha van Gaal tayari amemfungulia mlango wa kutoka mchezaji huyo ambaye Bayern Leverkusen wameonekana kumhitaji.
United leo wanatarajia kukipiga na Swansea.
Javier Hernandez kuondoka Man United ??!!
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 30, 2015
Rating:



No comments:
Post a Comment