Propellerads

Chelsea sasa wakomaa kupata saini ya Aymen Abdennour




Klabu ya Chelsea imeripotiwa kutoa ofa ya
pauni mil 15 kwa Monaco ya Ufaransa ili kuipata saini ya beki  Aymen Abdennour.

Hii inafatia baada ya Everton kukataa ofa zote za The Blues kwa beki John Stones,

Sasa gazeti la Daily Mail limedai kua klabu inaangalia kwingine ili waweze kuimarisha safu yao ya ulinzi, na tayari wameshaanza mazungumzo na Monaco juu ya dili hilo la  Abdennour.

Mchezaji huyo kutoka Tunisia pia ameonekana kuivutia klabu ya Valencia lakini Chelsea wana uhakika mkubwa wa kumnasa kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili jumanne.

Chelsea leo wanawakaribisha Crystal Pale stamford Bridge kwene mechi ya Premier League.
Chelsea sasa wakomaa kupata saini ya Aymen Abdennour Chelsea sasa wakomaa kupata saini ya Aymen Abdennour Reviewed by Steve on Saturday, August 29, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.