Propellerads

Chelsea kukubaliana dili na beki wa Nantes??!!



Chelsea wameripotiwa kufanya makubaliano
 na klabu ya Nantes kwa ajili ya kumpata beki  Papy Djilobodji.

Mabingwa hao watetezi wa Premier League wako katika harakati za kumpata beki mwingine baada ya ofa tatu kwa beki wa Everton, John Stones kukataliwa.

The Mirror wameripoti kua tayari vilabu hivyo viwili vimekubaliana na kilichobaki ni beki huyo kufanya mazungumzo binafsi na Chelsea.

Chelsea kukubaliana dili na beki wa Nantes??!! Chelsea kukubaliana dili na beki wa Nantes??!! Reviewed by Steve on Monday, August 31, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.