Wastani wa magoli wapungua kwa Ronaldo.
Wastani wa ufungaji kwa Cristiano Ronaldo umeonakana kupungua kutoka 1.28 hadi
0.85 tangu mwaka huu wa 2015 uanze.
Magoli 55 bya Ronaldo msimu huu, 32 aliyafunga katika michezo 24 mwaka jana 2014, wakati akifunga magoli 23 pekee kati ya michezo 27 tangu mwaka huu uanze.
Ameshindwa kufunga katika mechi karibia tisa mwaka huu ambapo tatu kati yake Madrid walipoteza point 8, kuina ile waliyopigwa 4-0 na Atletico Madrid, 1-0 dhidi ya Athletic Bilbao, na sare ya 2-2 na Valencia.
Je unadhani hayuko kwenye fomu yake kama tulivyomzoea!!
0.85 tangu mwaka huu wa 2015 uanze.
![]() |
| Ronaldo |
Magoli 55 bya Ronaldo msimu huu, 32 aliyafunga katika michezo 24 mwaka jana 2014, wakati akifunga magoli 23 pekee kati ya michezo 27 tangu mwaka huu uanze.
Ameshindwa kufunga katika mechi karibia tisa mwaka huu ambapo tatu kati yake Madrid walipoteza point 8, kuina ile waliyopigwa 4-0 na Atletico Madrid, 1-0 dhidi ya Athletic Bilbao, na sare ya 2-2 na Valencia.
Je unadhani hayuko kwenye fomu yake kama tulivyomzoea!!
Wastani wa magoli wapungua kwa Ronaldo.
Reviewed by Steve
on
Saturday, May 16, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, May 16, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment