Mourinho: Ni Vigumu sana Kwangu mimi kukaa Chelsea Milele chini ya abramovich Kimataifa May 10th, 2015 0 Comments 27 Views jose-mourinho-arsenal-chelsea-26042015_vr3mx2lnpwxx12v2n9nlire5s Na Anwar Binde, Kocha wa The Blues amesema haamini kama kuna kocha yoyote anayeweza kufuata nyayo za Sir alex Ferguson kwa kukaa miaka 27 pale Manchester United kutokana na hatma yake kuwa kwa mmiliki wake. Bosi huyo wa Chelsea ameripotiwa ataongezwa mkataba wake wa kuifundisha Chelsea baada ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza mapema mwezi huu. Lakini Mourinho ana furaha ya kuishi jijini London kwa muda mrefu anaoutaka,hajui bosi wake anachofikiria katika maisha ya mbele ya klabu hiyo. Aliwaambia waandishi,”Sikutaka kukaa Inter kwa sababu sikutaka tu,sikutaka kukaa muda mrefu pale Real Madrid kwa sababu sikutaka.nataka kukaa hapa lakini maisha yangu yapo mikononi mwa Abramovich, “Sina presha hapa.Haitaji kunipa mkataba kesho,haitaji kunipa fedha zaidi,hana sababu ya kuwaza kama kuna klabu nyingine itanihitaji,hatakiwi kuwa na wasiwasi na kitu chochote. Akinihitaji ntakaa na asiponihitaji nitaondoka pia ni rahisi kwake na kwangu pia. Ni vigumu kwa mpira wa wa kisasa kwa kocha kukaa kwenye klabu moja kwa muda mrefu kama alivyofanya Sir Alex Ferguason”.Alisema kocha huyo Share2 Plus0 Tweet1 Share0 Reddit0 0 inShare 0 Previous Next Related Posts Liverpool yaifanyia Chelsea Azam walichoifanyia Yanga Liverpool yaifanyia Chelsea Azam walichoifanyia Yanga Yaya Toure asherekea kuzaliwa Man City ikiishusha daraja QPR kwa 6-0 Yaya Toure asherekea kuzaliwa Man City ikiishusha daraja QPR kwa 6-0 Hawa ni Wachezaji Bora Ambao Hawajawahi kupata Tuzo Ya Mchezaji Bora wa Dunia {Ballon d’Or} Hawa ni Wachezaji Bora Ambao Hawajawahi kupata Tuzo Ya Mchezaji Bora wa Dunia {Ballon d’Or} PART 2 : JAMANI ADEBAYOR KATUPA STORY NYINGINE KUHUSU FAMILIA YAKE ISOME HAPA PART 2 : JAMANI ADEBAYOR KATUPA STORY NYINGINE KUHUSU FAMILIA YAKE ISOME HAPA Leave A Comment Notify me of follow-up comments by email. Notify me of new posts by email. Dauda TV LIVE Most Popular Top 10 ya Wapigaji Pasi za Mwisho {Assist} katika Ulimwengu wa Soka Top 10 ya Wapigaji Pasi za Mwisho {Assist} katika Ulimwengu wa Soka USHAMUONA MANNY PACQUIAO KWENYE BOXING....HAYA NI MAISHA YAKE NJE YA BOXING. USHAMUONA MANNY PACQUIAO KWENYE BOXING....HAYA NI MAISHA YAKE NJE YA BOXING. PART 2 : JAMANI ADEBAYOR KATUPA STORY NYINGINE KUHUSU FAMILIA YAKE ISOME HAPA PART 2 : JAMANI ADEBAYOR KATUPA STORY NYINGINE KUHUSU FAMILIA YAKE ISOME HAPA Van Gaal;Nitaiangalia Liverpool nikiwa na glasi ya mvinyo mkononi. Van Gaal;Nitaiangalia Liverpool nikiwa na glasi ya mvinyo mkononi. EXCLUSIVE INTERVIEW PART TWO; Hans Poppe Kuipiga jeki Lipuli ya Iringa, Afunguka Sababu ya Simba kufanya vibaya. EXCLUSIVE INTERVIEW PART TWO; Hans Poppe Kuipiga jeki Lipuli ya Iringa, Afunguka Sababu ya Simba kufanya vibaya. Facebook Login Username: Password: Remember Me
Kocha wa The Blues amesema haamini kama
kuna kocha yoyote anayeweza kufuata nyayo za Sir alex Ferguson kwa
kukaa miaka 27 pale Manchester United kutokana na hatma yake kuwa kwa
mmiliki wake.
Bosi huyo wa Chelsea ameripotiwa ataongezwa
mkataba wake wa kuifundisha Chelsea baada ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza mapema mwezi huu.
Lakini Mourinho ana furaha ya kuishi jijini London kwa muda mrefu anaoutaka,hajui bosi wake anachofikiria katika maisha ya mbele ya klabu hiyo.
Aliwaambia waandishi,”Sikutaka kukaa Inter kwa sababu sikutaka tu,sikutaka kukaa muda mrefu pale Real Madrid kwa sababu sikutaka.nataka kukaa hapa lakini maisha yangu yapo mikononi mwa Abramovich,
“Sina presha hapa.Haitaji kunipa mkataba kesho,haitaji kunipa fedha zaidi,hana sababu ya kuwaza kama kuna klabu nyingine itanihitaji,hatakiwi kuwa na wasiwasi na kitu chochote.
Akinihitaji ntakaa na asiponihitaji nitaondoka pia ni rahisi kwake na kwangu pia. Ni vigumu kwa mpira wa wa kisasa kwa kocha kukaa kwenye klabu moja kwa muda mrefu kama alivyofanya Sir Alex Ferguason”.Alisema kocha huyo

Reviewed by Steve
on
Monday, May 11, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, May 11, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment