Mastaa wanne wa soka wenye followers wengi zaidi mitandaoni.
Kama wewe ni shabiki au mfatiliaji wa soka bila shaka ungependa kujua nengi zaidi kuhusu soka na mastaa wake, kwani soka haliishii uwanjani tu ,pia hata nje ya uwanja. Leo nimekuletea orodha ya wachezaji wenye followers wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii
Kujua anaefuata click(bofya) namba za page zinazofuatana hapo chini
4. David Beckham
Mchezaji wa zamani Man U, Real Madrid, LA Galaxy, na PSG, ana followers 50,915,531 facebook.
Mchezaji wa zamani Man U, Real Madrid, LA Galaxy, na PSG, ana followers 50,915,531 facebook.
Mastaa wanne wa soka wenye followers wengi zaidi mitandaoni.
Reviewed by Steve
on
Monday, May 18, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, May 18, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment