Manchester United kuvunja rekodi kwa Bale??
Man Utd wanadaiwa kuwa katika mipango ya kumsajili Gareth Bale kwa usajili ambao utavunja rekodi ya dunia.
Inasemekana mchezaji huyo raia wa Wales ana mpango wa
kuondoka klabuni Real Madrid mwishoni mwa msimu huu. Wakala wa Bale ameahidi kupatikana faida kwa dau la alilo sajiliwa Madrid la pauni 85 alipotokea Tottenham Hotspur- hivyo Man U wanatakiwa kutoa dau kubwa zaidi!
Mtendaji mkuu msaidizi wa Man U, Ed Woodward, aliyechukua jukumu la usajili tangu mwaka 2013, alionesha kuvutiwa na Bale kabla hata mchezaji huyo hajasajiliwa na Real Madrid.
The sunday times limeripoti kua Woodward bado anaiwinda saini ya Bale na yuko tayari kumwonesha mlango wa kutokea Angel Di Maria ili kumpisha mkali huyo.
Chelsea na Manchester City pia wameonekana kua na nia ya kumsainisha Bale, lakini hawajafikia kulingana na dau la mashetani wekundu.
Zimekuepo ripoti nyingi zikidai Bale anaweza kurudi EPL msimu ujao, ikizingatiwa hajaonesha cheche zake ipasavyo Santiago Bernabeu.
Pamoja na kukosolewa sana msimu huu, akiwa Madrid Bale hakua nyuma kuzifumania nyavu akiwa na magoli 17, akitoa usaidizi mara 12 katika michezo 48.

![]() |
| Bale |

Reviewed by Steve
on
Tuesday, May 19, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, May 19, 2015
Rating:

.jpg)