Propellerads

Hatimaye mmoja wa ndugu wa Adebayo ameomba msamaha.

Ndugu ya mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor ameomba msamaha baada ya nyota huyo kumshtumu katika mtandao wa facebook na watu wengine wa familia yake

                                              
Adebayor akiwa na Rotimi

Rotimi Adebayor ameiambia BBC kwamba anaomba msamaha kwa makosa aliyofanya,na kwamba angependelea nduguye arudi katika familia.
Emmanuel Adebayor ambaye pia anaichezea Togo alisema wiki iliopita kwamba mzigo wa kifedha wa kuisadia familia yake pamoja na ugomvi katika familia yake umemuahiribia kazi yake.
Amesema kuwa anazitaka familia nyangine barani afrika kupata funzo kutoka kwake.
Hatimaye mmoja wa ndugu wa Adebayo ameomba msamaha. Hatimaye mmoja wa  ndugu wa Adebayo ameomba msamaha. Reviewed by Steve on Tuesday, May 12, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.