Propellerads

Arsenal wampa ofa ya mkataba mpya Ozil lakini Chamberlain anataka kutimka....dondoo na tetesi za usajili magazeti ya Ulaya leo





  • Klabu ya Wanagunners, Arsenal wamempa ofa ya mkataba mpya Mesut Ozil ambao utakua na thamani ya pauni 280,000 kwa wiki huku kwa upande mwingine Alex Oxlade-Chamberlain akitazamia kuondoka majira ya kiangazi ambapo Manchester City na United wakionekana kumfatilia kwa karibu.
           
  • Chelsea ni kama wamekutana na kikwazo katika mipango yao ya kumnasa kiungo wa Roma,   Radja Nainggolan kwani amedai bado ana furaha na maisha ya Italia.
                
  • Kiungo wa Freiburg, Maximillian Philip anatizamia kutimkia nchini England hapo baadae, huku akipendelea zaidi Tottenham na Arsenal.


  • Arsenal wapo katika mpango wa kupambana na West Ham katika soko la usajili kwa ajili ya beki Ben Gibson.


Arsenal wampa ofa ya mkataba mpya Ozil lakini Chamberlain anataka kutimka....dondoo na tetesi za usajili magazeti ya Ulaya leo Arsenal wampa ofa ya mkataba mpya Ozil lakini Chamberlain anataka kutimka....dondoo na tetesi za usajili magazeti ya Ulaya leo Reviewed by Steve on Thursday, March 09, 2017 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.