Manchester United nao wako kwenye mpango wa kumnasa beki huyu wa Benfica
Manchester United wataingia katika kinyang'anyiro na mahasimu wao
Manchester City kumfukuzia beki wa kushoto wa Benfica, Alex Grimaldo.
Gazeti la Daily Mail limeripoti kwamba Red Devils wanamtaka Grimaldo ambaye kwenye mkataba wake bei ya kuuzwa ni pauni mil 51 lakini endapo dau likiwekwa huenda akauzwa kwa bei ya chini kidogo.
Inadaiwa kwamba vilabu vya Juventus, Valencia na Middlesbrough navyo vinamfatilia kwa karibu beki huyo.
Manchester United nao wako kwenye mpango wa kumnasa beki huyu wa Benfica
Reviewed by Steve
on
Tuesday, October 04, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, October 04, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment