Propellerads

Mishahara mipya ya Barcelona 2016/17 yavuja, Neymar na Messi wanalipwaje!? angalia hapa



Klabu ya Hispania, FC Barcelona kwa sasa ni miongoni mwa vilabu
vyenye safu hatari zaidi ya ushambuliaji, lakini ni kiasi gani inavyowagharimu kuendelea kuwaweka kina Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar kikosini?, hivi karibuni mambo yote yamekua wazi kiasi ambacho klabu hiyo ya Catalunya inawalipa.

Kulingana na mtandao mmoja uitwao totalSPORTEK, wana Blaugrana wanatumia kiasi cha pauni mil 2 kila wiki kulipa mishahara.

Mtandao hu pia unazidi kudai kwamba Ronaldo na Messi ndio wachezaji pekee ulimwenguni wenye mikataba ambayo ina mishahara baada ya kodi katika vilabu vyao.

Hapa ni mishahara ya wachezaji wa Barca kulingana na mtandao wa totalSPORTEK.

1) Lionel Messi – £256 000 Baada ya kodi

2) Neymar – £230 000

3) Luis Suárez –£200 000

4) Andrés Iniesta – £165 000

5) Sergio Busquets – £140 000

6) Gerard Piqué – £130 000

7) Javier Mascherano –£130 000

8) Jérémy Mathieu – £90 000

9) Jordi Alba – £90 000

10) Paco Alcacer – £90 000

11) Arda Turan – £85 000

12) André Gomes – £80 000

13) Ivan Rakitic – £75 000

14) Alex Vidal – £60 000

15) Marc-Andre ter Stegen – £60 000

16) Lucas Digne – £55 500

17) Jasper Cillessen – £55 000

18) Samuel Umtiti – £40 000

19) Denis Suarez – £40 000

20) Rafinha – £37 500 (R703 425)

21) Sergi Roberto – £20 000 (R375 00)

22) Jordi Masip – £15 500 (R290 750)

23) Sergi Samper – £10 000 Ametolewa kwa mkopo.


Note: Mishahara ni kwa kila wiki
Mishahara mipya ya Barcelona 2016/17 yavuja, Neymar na Messi wanalipwaje!? angalia hapa Mishahara mipya ya Barcelona 2016/17 yavuja, Neymar na Messi wanalipwaje!? angalia hapa Reviewed by Steve on Thursday, September 08, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.