Mikakati ya leo na Azam Pluijm aandaa kabisa wapiga matuta..!!
Tayari Kocha wa Yanga, Pluijm amesema ameandaa wachezaji makini ambao
watapiga penalti zitakazopatikana wakati wa mchezo hata zile za mwisho wa mechi kama wakitoka sare.
“Ilikuwa ni tatizo la kisaikolojia tu, nimewaandaa wachezaji wangu vizuri kuweza kupiga penalti katika mchezo huu kwani ni utaratibu wangu katika kila mechi tunayoelekea kucheza,” alisema.
Yanga ilikosa penalti tatu katika michezo miwili ya kwanza kwenye michuano hiyo.
Katika mechi ya kwanza ya robo fainali leo uwanjani hapo, Al Shandy ya Sudan itacheza na KCC ya Uganda.
Mikakati ya leo na Azam Pluijm aandaa kabisa wapiga matuta..!!
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 29, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 29, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment