Propellerads

Hatimaye Depay rasmi Man United.




Hatimaye kinda mwenye kipaji Memphis Depay ametua Man United kwa klabu hiyo kumwaga pauni milioni 25.

Depay mwenye miaka 21 kutoka PSV Eindhoven ya Uholanzi alitambulishwa jana baada ya kusaini mkataba huo wa miaka minne.


Hatimaye Depay rasmi Man United. Hatimaye Depay rasmi Man United. Reviewed by Steve on Saturday, June 13, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.