Dau waliloweka Real Madrid kumnasa Sterling.
Real Madrid wameweka dau nzito na kutaka ndani ya wiki mbili Raheem Sterling asaini mkataba na timu hiyo ya Spain. Kutokana na
Raheem kukataa kusaini mkataba mpya na Liverpool, club nyingi zimeonyesha nia ya kumsaini.
Real inategemea kufungua mazungumzo na Liverpool na kuwalipa €60 million (£45m) ili Raheem Sterling ahamie Real ndani ya wiki mbili zijazo.
Dau waliloweka Real Madrid kumnasa Sterling.
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 03, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, June 03, 2015
Rating:
