Simba nao wamsainisha kiungo huyu
Kiungo wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi amejiunga na Simba ya Dar es Salaam.
MWalyanzi amesaini mkataba huo mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, makamu wake Kassim Dewji na mjumbe Collins Frisch.
Simba imefanikiwa kumsainisha Mwalyanzi huku Yanga ikiwa imemchukua kiungo mwingine wa Mbeya City, Deus Kaseke.
Simba nao wamsainisha kiungo huyu
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating:
