Propellerads

Sasa Ngassa kutimkia klabu hii ya ughaibuni, sio Yanga tena


Baada ya kuuvunja mkataba na Free State Stars ya Afrika Kusini na kuelezwa
kwamba atajiunga na Yanga, Mrisho Ngassa sasa amejiunga na Fanja ya Oman.

Taarifa zinaeleza Ngassa amekubaliana na Fanja na leo ameondoka jijini Dar Es Salaam kwenda Muscat nchini Oman kwenda kumalizana nao na kuanza kazi mara moja
Sasa Ngassa kutimkia klabu hii ya ughaibuni, sio Yanga tena Sasa Ngassa kutimkia klabu hii ya ughaibuni, sio Yanga tena Reviewed by Steve on Thursday, September 15, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.