Propellerads

Mourinho ajifunga Chelsea mpaka 2019




Jose Mourinho amesaini mkataba mpya wa Chelsea ambao utakuwa na
urefu wa miaka minne.
Kocha huyo rauia wa Ureno sasa anaondoka na pauni milioni 30 kutokana na mkataba huo mpya.

Mourinho ameingoza Chelsea kubeba makombe mawili ya Capital One na Premier League.

Mreno huyo mwenye miaka 52, hakufanya vizuri kwa maana ya kupata ushindi katika mechi zake za majaribio kujiandaa na msimu mpya lakini amesisitiza watafanya vizuri.

Chelsea itaanza msimu wa 2015-16 kwa kucheza na Swansea.
Mourinho ajifunga Chelsea mpaka 2019 Mourinho ajifunga Chelsea mpaka 2019 Reviewed by Steve on Saturday, August 08, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.