Hivi ndivyo ilivyokua Man United akishinda jana Rooney amefanya yake, cheki pia takwimu na picha
Manchester United wamefanikiwa kusonga katika hatua ya makundi ya
klabu bingwa 2015-16 baada ya kuwachapa Club Brugge kwa jumla ya magoli 7-1 jana usiku.
Red Devils walikua wageni kwenye uwanja wa Jan Breydel Stadion huku wakiwa mbele baada ya kushinda 3-1 Old Trafford.
Rooney ndiye alikua kinara jana baada ya kutupia Hat trick kabla ya Ander Herrera kuongeza bao la nne na la mwisho kwa Man United jana. Javier Hernandez angefunga goli la tano kama asingekosa penati.
![]() |
Chicharito akikosa penati |
Cheki takwimu zilivyokua katika mchezo huo
Match statistics
CLUB BRUGGE
Shots: 10
On target: 1
Possession: 34%
Corners: 2
Fouls: 11
MAN UTD
Shots: 22
On target: 7
Possession: 66%
Corners: 4
Fouls: 7
Hivi ndivyo ilivyokua Man United akishinda jana Rooney amefanya yake, cheki pia takwimu na picha
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 27, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment