Arsene Wenger anatarajia kuanza EPL kwa mtindo huu
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amewataka wachezaji wake
wajitahidi kuanza kwa kasi na nguvu msimu huu mwingine wa EPL.
The Gunners wametabiriwa na kutolewa maoni na wengi kua msimu huu wataleta upinzani mkubwa zaidi EPL baada ya makali yao kuanza kuiva zaidi msimu uliopita.
Arsenal wataanza kwa kuwakaribisha West Ham Jumapili hii kabla ya kuumana na Crystal Palace wiki inayofatia.
Akiongea na waandishi Wener amedai "Tuko tayari kupambana, tumehamasika kuanza viuri" alisema "Moja ya mipango ni kuanza kwa kasi. Tunahitaji ushindi mechi hizi za mwanzo"
Arsene Wenger anatarajia kuanza EPL kwa mtindo huu
Reviewed by Steve
on
Friday, August 07, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment